New VIDEO: Wewe Ni MUNGU By Jackson JoshKaribu Kutazama Video Mpya ya Wimbo 'Wewe Ni MUNGU', Ni Wimbo Unaoelezea Uwepo Wa MUNGU Katika Maisha Yetu, Wimbo huu Umeimbwa na Mtumishi wa MUNGU, Jackson Josh. Hakika MUNGU Anakuhudumia pindi Utazamapo Video Hii

No comments