PICHA: Rapa Mwingine Marekani Akimbilia Kanisani


Rapa Mkubwa Marekani Sean John Combs Maarufu Kama Puff Daddy Au P. Diddy Amehudhuria Ibada Katika Kanisa La Potters House Linaloongozwa Na Bishop Jakes Bishop Jakes Akiwa Na Familia Yake.


Akipost Picha Za Tukio Hilo @bishopjakes Aliandika; "Tuvue Kofia Na Tuinue Maombi kwa Puff (@Diddy) Na Familia Yake Kama Alivyowaleta Katika Ibada. Kujifurahisha Kwake Katika Kuileta Familia Yake Mpaka Dallas Kwa Ajili Ya Ukaribu Na Mungu Ni Jambo La Kuhamasisha. Nikiwa Nimekuomba Umuombee, Pia Tujiombee Sisi Sote. Nimegundua Kwamba Wote Tunahitaji Maombi Ili Tuweze Kuzishika Familia Zetu Pamoja Na Kuzisogeza Karibu Na Msalaba. Tuchukue Mfano Wake Na Tuzisogeze Karibu Na Mungu. Kama Unammoja Wa Familia Na Anahitaji Ukombozi, Nakuombea Pia".


No comments