JOEL LWAGA - Nafasi Nyingine (Official Video)
MWIMBAJI wa nyimbo za Injili Joel Lwaga kwa mara nyingine tena ameachia video mpya ya wimbo wake mzuri unaoitwa Nafasi Nyingine.
“Nafasi Nyingine is a great Gospel and Inspirational Song that means “Another Chance”. – Joel Lwaga
Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri na hakika utabarikiwa, Amen.Audio Production by Taz Goemi Studio Fishers Records Video by Director Ivan

No comments