Paul Clement - Usiyeshindwa (Official Video)


Mtumishi wa Mungu Paul Clement ametusogezea zawadi hii nyingine mpya, ni video ya wimbo unaojulikana kwa jina la "Usiyeshindwa." Wimbo huu ukiwa unatoka kwenye Album yake ya AWE Live Recording. Ndani ya wimbo huo Paul Clement hakusimama peke yake ameshirikiana na watumishi wa Mungu Calvin John & John Kavishe kuhakikisha unapata ujumbe na ladha nzuri masikioni mwako. Lakini yote yote ni kwa ajili ya utukufu wa Mungu 😀😀

No comments