BEDA ANDREW - MBALI SANA (Official Music Video)Lyrics

VERSE A;
Nalikuwa sijiwezi unyonge ulielemea 
sikuwa na tumaini la mbele kuendelea
imani ilififia sikuona kabisa 
kama moja ya nyenzo ilotikisika
Nalikosa tabasamu usoni eeeih 
tegemeo sikuona maishani
nikashindwa endelea mbele 
hali iliyofanya nikwame kule eeeiih oooh 

CHORUS 
Ulikonitoa ni mbali sana 
Nikwell umenkomboa nashukuru sana
ulikonitoa ni mbali sana ukanikomboa na zile laana

Mbali sana
Mbali sana
Mbali sana
Nashukuru bwana

VERSE B
Uliona haiko shwari mimi kupotea njia
sijui namna gani uliwaza ukanihurumia 
nalifanania jangwa mvua kutonnyeshea 
nami mche mbichi maji yalinikaukia
shida mateso sina tena yamewekwa nyuma 
mimi wa YESU mwengine sina wakunirudisha nyuma 
wakati wakuokolewa umekubalika
kwa haji na ushupavu wake ukathibitika * REPEAT CHORUS*

HOOK
(Oooooh oooh ooh)
(Ooooh oooh oooh)
Ooooh ooooh oooh)

(Mbali sana) repetedly

Artist ; BEDA ANDREW
Songwriters ; BEDA ANDREW & SULEIMAN WILSON

No comments