Paul Clement - Mwaminifu (Official Music Video)


Mungu hawezi kukuacha njiani alianza na wewe atamaliza na wewe. Anaangalia Neno lake ili apate kulitimiza. Yeye ni Mwaminifu wakati wote. Song: MWAMINIFU
Artist: PAUL CLEMENT
Audio: Fisher Records
Dir: Director Joma
Producer: Johbass
Music: Mordens Music
Lead Guitar: Emmanuel Gripa
Bass Guitar: Johbass

LYRICS
Una wasi wasi
Hofu na mashaka
Unahisi moyoni kama MUNGU kakuacha
Maana unaona hausogei wala huendelei
Uko palepale kila siku
Uko vilevile X2
MUNGU aliianzisha safari tena ataimaliza
Maana alikujua kabla hujajijua kabla hujazaliwa 
MUNGU hawezi kukuacha njiani
Safari yako aliianzisha mwenyewe
Asingetaka angekuacha mwanzoni
Unakokwenda yeye anajua X4

Atainyosha njia yako X2
Ina mabonde kweli
Ina vikwazo vingi
Atainyoosha njia yako

CONTACTS
Email: paul.clement246@gmail.com fisherrecordstz@gmail.com
Facebook:Paul clement
Instagram: minister_paulclement

No comments