YOTE MEMA by JOEL LWAGA COVERED BY SULEIMAN WILSON (Official Video Cover)


Suleiman Wilson ni moja ya vijana wanaofanya vizuri katika tasnia ya muziki wa Injili Tanzania. Suleiman aliwahi kuwa mshindi wa kwanza wa shindano la Gospel Star Search Tanzania (GSS) lililofanyika mwaka 2016.  Kwa mara nyingine tena ameachia wimbo wake mpya uitwao Yote Mema ikiwa ni marudio ya wimbo ulioimbwa kwa mara ya kwanza na mwimbaji anayefanya vizuri katika huduma ya muziki wa Injili Tanzania Joel Lwaga, Wimbo huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za D.M Production chini ya  ya prodyuza Daniel Mark.

No comments