New Video: Goodluck Gozbert - Nipe (Official Music Video)


Shalom! mabibi na mabwana, mtumishi wa Mungu Goodluck Gozbert anakukaribisha kuangalia video yake mpya ya wimbo wake unaokwenda kwa jina la "NIPE". Nipe ni moja wapo kati ya nyimbo tatu ambazo ameshazitoa mpaka sasa kutoka kwenye Album yake mpya (Shukurani)
Audio Imetengenezwa na :Crucial Sounds/Johntez, Video imeongozwa na :TrueDpictures/SammyD

No comments