NEW VIDEO: Zoravo - Yahweh ( Official Music Video )


Yahweh ni wimbo maalumu kabisa kwa ajili ya kumtukuza na kumwinua MUNGU kama vile alivyojidhihirisha kwa nabii MUSA kwa ajili ya wana wa israel na hata kizazi cha sasa.
Ukisoma ,Kutoka 3:14 MUNGU akamwambia Musa ,MIMI NIKO AMBAYE NIKO; AKASEMA ndivyo utakavyo waambia wana israel; MIMI NIKO amenituma kwenu.Tena MUNGU akamwambia Musa waambie wana wa israel maneno haya, Bwana MUNGU wa baba zenu MUNGU wa Ibrahim,MUNGU wa Isaka, MUNGU wa Yakobo, amenituma kwenu; hili ndilo jina langu hata milele, nalo ni kumbukumbu langu hata vizazi vyote.

No comments