Watch & Download: Ritha Komba Ft Rachel Mwamtobe - Nguvu Yangu (Official Video)


Bwana ndiye nguvu za watu wake naye ni ngome ya wokovu kwa masihi wake zaburi 28 :8 Wimbo huu ufanyike Baraka kwako wewe ambae unasema umeishiwa nguvu kwa yale unayo kutana nayo, Bwana ndiye Nguvu yako usiogope yeye yuko pamoja nawe.

Lyrics

CHOROUS Nguvu yangu Nguvu yangu Nguvu yangu ni wewe Ngome yangu Ngome yangu Ngome yangu ni wewe x2 Verse 1 Nimengi sana Baba yanatokea Yaliyomagumu katika hii Dunia Wengine wanalia Wengime wancheka Kwa Hali zote baba mimi Siogopi iiih Sifadhahiki mana u pamoja nami Nikiishiwa nguvu unanipa nguvu Wewe ni deleva wangu tena ni mwangaza wangu uuuuh Nina amani njianiiiiiiiiiiii CHOROUS Nguvu yangu Nguvu yangu Nguvu yangu ni wewe Ngome yangu Ngome yangu Ngome yangu ni wewe x2 Verse 2 Kristo Yesu huu umenikomboa Deni langu huu umenilipia mwokozi wa ajabu Maishani mwanguuuu Umekua kwangu faraja yangu Amani ya moyo maishani mwangu Jeraha la moyo wangu umenitibiaaa Wewe ni deleva wangu tena ni mwangaza wangu uuuuh Baraka zako ziko Nami iiiiiiiiihh CHORUS Nguvu yangu Nguvu yangu Nguvu yangu ni wewe Ngome yangu Ngome yangu Ngome yangu ni wewe Whatsapp: +255 712 496 727 Instagram @rithakomba Facebook @rithakomba Subscribe:https://www.youtube.com/channel/UCmb0...

No comments