New Video: Tripod - Nipe Moyo ( Official Video)


Tripod ni kundi jipya la Muziki  wa Injili toka Tanzania, ambalo ndani yake linaundwa na vijana watatu ( Suleiman Wilson, Beda Andrew na Nsajigwa Mordecai ) ambao wametoa maisha yao na karama zao kwa ajili ya utukufu wa Mungu.

 IOB tumekusogezea video ya wimbo wao mpya unaokwenda kwa jina la Nipe Moyo.
Audio ikiwa imatayarishwa na Moderns Music na video kuongozwa na Director Emak.

No comments