Video: Angel Benard - Utukumbuke (Official Music Video)


Karibu angalia na sikiliza wimbo mpya Utukumbuke kutoka kwa mtumishi wa Mungu Angel Benard. Wimbo huu binafsi umekuwa baraka kwangu kwani kila nikiusikiliza napata tumaini na nguvu mpya ya kuona kwamba Mungu yupo kazini na anakumbuka maombi ya watoto wake. 
Kupitia kinywa cha mtumishi wake Angel Benard, Mungu ameweka wimbo huu mtakatifu kwa ajili ya dhumuni na mpango fulani kwa ajili ya watu kuwa na tumaini na kuendelea kumngojea Bwana , Maana mkono wa Bwana sio mfupi asiokoe na wala sikio lake sio zito asisikie kwake Bwana hakuna gumu lolote.

Angalia & Sikiliza  Video hapa.

No comments