New Video: Paul Clement - Jina la Yesu


Muimbaji wa Muziki wa Injili Tanzania, Paul Clement ambaye amekuwa akifanya vizuri katika huduma yake ya uimbaji wa muziki wa Injili. Na kufanikiwa kuwa kivutio kikubwa katika kizazi kipya cha muziki wa Injili Tanzania hasa katika aina yake ya uandishi na uimbaji. Paul Clement ameachia video mpya ya wimbo unaokwenda kwa "Jina la Yesu". Unaopatikana kwenye Album yake mpya "AMANI".

Pia ndani ya wimbo huo inasikika sauti nzuri na ya kipekee ya Mwanadada Frida Felix ambaye pia amemshirikisha katika video hiyo.

Karibu na angalia video hiyo:No comments